Nina mpango wa kumvalisha wangu hivi karibuni.. Nategemea kuita marafiki zangu km watatu na yeye aje na rafiki zake tufanye mambo. Itakuwa ni shughuri ndogo tu, wazazi hawatahusika, na ninafanya hivi baada ya kujitambulisha kwao. Pete ya uchumba ina maana sana ktk mapenzi!