Habari, naomba kujua taratibu na gharama za kupanga nymba za shirika la nyumba la taifa, kwenye website yao hakuna, nahitaji jua na gharama kabla sijapoteza muda kwenda kwenye ofisi zao, pia ningependa jua ubora wa nyumba hasa za keko, na gerezani nisije enda ishi kwenye pagare.
wenu mtiifu,