Taratibu za kupanga nyumba za NHC

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
Habari, naomba kujua taratibu na gharama za kupanga nymba za shirika la nyumba la taifa, kwenye website yao hakuna, nahitaji jua na gharama kabla sijapoteza muda kwenda kwenye ofisi zao, pia ningependa jua ubora wa nyumba hasa za keko, na gerezani nisije enda ishi kwenye pagare.

wenu mtiifu,
 
Kinachonishangaza ni watu kuuziana zile nyumba ilihali na wao ni wapangaji hasa zile za ghorofa sijui hii imekaaje
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom