Taratibu za kukopa crdb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taratibu za kukopa crdb

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKOBA2011, Oct 11, 2012.

 1. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamii forum naomba mtu mwenye kujua utaratibu wa kukopa CRDB kwa mfanyakazi ukoje na kiwango cha juu cha kukopa kutokana na mshahara ulionao ni kiasi gani.
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nenda tawi lolote Crdb lililokaribu nawe.
   
Loading...