Taratibu za kujiunga na jeshi la Polisi

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Ndugu wana jamiiforum, mimi ni kijana mwenye elimu ya chuo kikuu, napenda kujiunga na jeshi la polisi bila kupitia JKT, nifanyeje ili kutimiza dhamira yangu hiyo? Mwenye kujua naomba ushauli juu ya hilo. Asanteni.
 
Kwa utaratibu wa sasa huwezi kua polis bila kupitia Jkt
 
Ndugu wana jamiiforum, mimi ni kijana mwenye elimu ya chuo kikuu, napenda kujiunga na jeshi la polisi bila kupitia JKT, nifanyeje ili kutimiza dhamira yangu hiyo? Mwenye kujua naomba ushauli juu ya hilo. Asanteni.
Chuo kikuu umemakiza mwaka gani na umesomea kitu gani mkuu?
 
Huwa wanatangaza nafasi za ajira kwa wenye taaluma mbambali na maombi hutumwa kwa mkuu wa jeshi la polisi kisha mnaitwa kwa ajili ya usaili

Kwa kuwa ajira wizara ya mambi ya ndani zimesitishwa kwa muda hadi hapo kutakapotolewa taarifa

Muhim kuwa karib na mtandao

www.policeforce.go.tz.......www.moha.go.tz

Muda ukifika fursa zinaweza kutangazwa mkuuu
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.
 
daah mie nimemaliza form4 mwaka Jana nimeomba nafasi za uporisi cjui kam ntapata
 
wakuu vipi kuhusu Kijana aliyemaliza form six na kupiga jkt anaweza kupata nafasi kweli ya kujiunga na police? msaada please
 
Back
Top Bottom