Taratibu za kufungua company

Taratibu za kufungua company

Joined
Apr 24, 2015
Posts
98
Reaction score
74
Habari za uzima wana jukwaa natumai hamjambo kabisa,

Nataka kuanza biashara ya duka la mtandao(kama kikuu)
Natamani kujua gharama za kufungua kampuni inayohusika na shughuri hii(kisheria)

Pia nahitaji kujua taratibu za kufuata.
Nahitaji kujua mtaji unahitajika kama kuanzia kiasi gani.

Utalaam gani wa ziada napaswa kuwa nao.
Lakini pia mambo gani ya kuzingatia ninapojiandaa kuanza.
 
Back
Top Bottom