Taratibu za kufuata mgeni kuingia nchini

Taratibu za kufuata mgeni kuingia nchini

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
277
Reaction score
113
Heshima mbele wakuu,
Ninategemea kupokea mgeni/raia kutoka nchi za ng'ambo, Ningependa kujua afate taratibu zipi akiwa huko kwao nami pia nifanye nini huku ili kurahisisha zoezi hili.

Aksante wadau

Lyandembela1
 
Aende ubalozini kufuatilia visa itakayomuwezesha kukaa nchini kwa huo muda.

Wewe huku andaa mkwanja tu wa kumzungusha sehemu zote nzuri nzuri kwa kipindi chote atakachokuwa huku.
 
sema ni mgeni wa nchi gani na anakuja kufanya nini anagalau ndo unaweza kupata jibu litakalokuongoza
 
Kama anatoka Nigeria, Lebanon, Iran msadie apate visa kabla ya kuja.
 
Back
Top Bottom