Babuu Murasa
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 229
- 120
Heshma kwenu wanajukwaa! Napenda kuwapongeza kwa mchango wenu mkubwa, hakika hapa ni supermarket ya mambo yote yahusuyo Biashara. Naomba kufahamishwa njia Za kufuata kusajili Micro Credit
shukran mkuu naomba Mawasiliano yako tafadhalisajili kampuni brela, tafuta TIN tra, pata leseni manispaa, tengeneza credit policy nenda na document hizo wizara ya viwanda na biashara ndo wanatoa usajili. kwa mengine unaweza kuwasiliana
mkuu nahitaj kujua garamasajili kampuni brela, tafuta TIN tra, pata leseni manispaa, tengeneza credit policy nenda na document hizo wizara ya viwanda na biashara ndo wanatoa usajili. kwa mengine unaweza kuwasiliana
0769 012203Naomba namba yako