Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 28,981
- 51,454
Jichanganye , more documentaries are coming and for the ecord tuJana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Mchukiwa hakuhutubia wannchi alipita tu njiani kama moja kwa moja kambini
Angesimama kusalimia kama anavyofanya tungejua the feelings
Lakin words in the streets and mostly cha kushangaza wamama wana chuki isiyo na kifani.