gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,668
- 18,256
We boya rudi kwenu Chwaka unang'ang'ania Tanganyika tutakukimbiza na chupi mikononi siku yajaJana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia,tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma,basi unajidanganya
Mmebaki kuzua uwongo tu mitandaoniWe boya rudi kwenu Chwaka unang'ang'ania Tanganyika tutakukimbiza na chupi mikononi siku yaja
Waliofiwa ndugu zao, kupoteza mali,wamngoje tundu lisu atoke wamuulize maswali magumu,alilenga nini kukinukisha?Wameanza kufufuka 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa nshamaliza goli mbili,nikaandika uzi,nikaenda oga,punde ntatafuta la tatuHivi unafanyaga mapenzi saa ngapi?
Muda wote huko huku mtandaoni unashangilia vifo tu
Nyuma siyo kuzuri?Nenda kafrwe mbele hko
Adhabu yako ntakuweka ghetto mwezi mzima unachuma mboga tuMmebaki kuzua uwongo tu mitandaoni
So lisu ndo alisign kill order ?Waliofiwa ndugu zao, kupoteza mali,wamngoje tundu lisu atoke wamuulize maswali magumu,alilenga nini kukinukisha?
Hapa nshamaliza goli mbili,nikaandika uzi,nikaenda oga,punde ntatafuta la tatu
Eti , kwenye vitabu vitukufu vya Imani yako kuandamana adhabu yake ni kukatwa kichwa?Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Ila aliyesema atakata watu vichwa asihojiwe?Waliofiwa ndugu zao, kupoteza mali,wamngoje tundu lisu atoke wamuulize maswali magumu,alilenga nini kukinukisha?
Tatizo watu msio na akili mnachukulia matendo ya samia ni matendo ya kiushabiki kama ushabiki wa mipira...Samia ni muhalifu tena mkubwa sana, ukiwa na chembe hata ndogo ya akili utamwepuka haraka sana usije kujisiliba damu za uhalifu wake....sema wengi mnaomshabikia ni wale wenye akili finyu mnadhani haya mambo yapo kwenye hatua ya michezo na matani ...MWISHO WA SAMIA NA GENGE LAKE UMESHA HALIBIKA VIBAYA SANA NI SWALA LA MUDA TUPovu ruksa
Wamuulize yeye ndio aliwaua? pathetic and twisted logics of you guys is astonishingWaliofiwa ndugu zao, kupoteza mali,wamngoje tundu lisu atoke wamuulize maswali magumu,alilenga nini kukinukisha?