Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,152 Reaction score 30,856 Jul 4, 2024 #1 Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu.
Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu.
Sun Wukong JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,299 Jul 4, 2024 #2 Kunywa chai sio kuwaza mapenzi tu na hela huna
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,152 Reaction score 30,856 Jul 4, 2024 Thread starter #3 Andazi said: Kunywa chai sio kuwaza mapenzi tu na hela huna Click to expand... sasa ndugu yangu Andazi, isije ikawa ni utapeli tu kwamba ati umekunywa chai wakati hujanywa ... mie nakunywaje chai na sina hela 🤣 hii mimi kwa leo naona napiga deshi tu maana mpaka mida hii sielewi🐒
Andazi said: Kunywa chai sio kuwaza mapenzi tu na hela huna Click to expand... sasa ndugu yangu Andazi, isije ikawa ni utapeli tu kwamba ati umekunywa chai wakati hujanywa ... mie nakunywaje chai na sina hela 🤣 hii mimi kwa leo naona napiga deshi tu maana mpaka mida hii sielewi🐒
Sun Wukong JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,299 Jul 4, 2024 #4 Tlaatlaah said: sasa ndugu yangu Andazi, isije ikawa ni utapeli tu kwamba ati umekunywa chai wakati hujanywa ... mie nakunywaje chai na sina hela 🤣 hii mimi kwa leo naona napiga deshi tu maana mpaka mida hii sielewi🐒 Click to expand... penzi la kweli ni mkono wako tu
Tlaatlaah said: sasa ndugu yangu Andazi, isije ikawa ni utapeli tu kwamba ati umekunywa chai wakati hujanywa ... mie nakunywaje chai na sina hela 🤣 hii mimi kwa leo naona napiga deshi tu maana mpaka mida hii sielewi🐒 Click to expand... penzi la kweli ni mkono wako tu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,189 Reaction score 29,748 Jul 4, 2024 #5 Anakuwa kama ccm
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,152 Reaction score 30,856 Jul 4, 2024 Thread starter #6 Andazi said: penzi la kweli ni mkono wako tu Click to expand... mkono mwepesi sio
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,253 Reaction score 4,008 Jul 4, 2024 #7 Tlaatlaah said: Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu. Click to expand... mimi nitapeli wa mapenzi
Tlaatlaah said: Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu. Click to expand... mimi nitapeli wa mapenzi
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,152 Reaction score 30,856 Jul 4, 2024 Thread starter #8 Friedrich Nietzsche said: mimi nitapeli wa mapenzi Click to expand... unafanya fanyaje na hukamatwi ndugu tapeli wa mapenzi
Friedrich Nietzsche said: mimi nitapeli wa mapenzi Click to expand... unafanya fanyaje na hukamatwi ndugu tapeli wa mapenzi