Tapeli mwingine huyu hapa ndani ya jamii forum

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
General taya wakuu member tajwa hapo anajiita General taya ni tapeli tena nimuite kibaka humu jamii forum kawa tapeli watu wengi kwa njia ya kuwaijia inbox anawambia kua anawaconect Na VPN mfano your freedom nk ambapo kinachotokea ukishamtafuta anakwambia umtumie Pesa ili akuwekee setting kwenye laptop yako Na time viewer baada ya hapo hutokomea kwa Hyo nawasistiza ndugu kuweni makini Na kibaka hyu na ikiwezekana awekewe mtego akamatwe kwa sababu anadhalilisha forum
IMG_20180509_203340_852.jpg
 
ukifunga tutamkamataje
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hyo muhimu!! Tunaomba kuwe kuna utaratibu ambao kama mtu akilalamikiwa hv na idadi kubwa ya watu wafanye kuifunga hyo account yake! Mods please!
 
Duh, umaskini mbaya saaana, unaiba elfu Ishirini? Ngoja niende Mlandizi kwa Yule Bibi
 
General taya wakuu member tajwa hapo anajiita General taya ni tapeli tena nimuite kibaka humu jamii forum kawa tapeli watu wengi kwa njia ya kuwaijia inbox anawambia kua anawaconect Na VPN mfano your freedom nk ambapo kinachotokea ukishamtafuta anakwambia umtumie Pesa ili akuwekee setting kwenye laptop yako Na time viewer baada ya hapo hutokomea kwa Hyo nawasistiza ndugu kuweni makini Na kibaka hyu na ikiwezekana awekewe mtego akamatwe kwa sababu anadhalilisha forum View attachment 771956

Mkuu ni team viewer and not time viewer, unless yeye kaja na yake mpya
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hyo muhimu!! Tunaomba kuwe kuna utaratibu ambao kama mtu akilalamikiwa hv na idadi kubwa ya watu wafanye kuifunga hyo account yake! Mods please!

Kulalamikiwa tu peke yake haitoshi kumuadhibu mtu, labda useme akibainika kama kweli anayafanya mambo hayo. Wakisema kila anayelalamikiwa afungiwe akaunti yake, basi watu wengine watakomoa wenzao kwa kuwawekea thread za malalamiko ili mradi tu afungiwe.

Mr. MTUI mtani wangu atafanya hata akimhonga mwanamke asipopewa alichotaka akileta uzi kuwa mwanamke fulani wa JF ni tapeli mods watamfungia huyo demu kumbe sio tapeli ni mambo yao tu wawili.
 
Ha haaa,
 
General taya wakuu member tajwa hapo anajiita General taya ni tapeli tena nimuite kibaka humu jamii forum kawa tapeli watu wengi kwa njia ya kuwaijia inbox anawambia kua anawaconect Na VPN mfano your freedom nk ambapo kinachotokea ukishamtafuta anakwambia umtumie Pesa ili akuwekee setting kwenye laptop yako Na time viewer baada ya hapo hutokomea kwa Hyo nawasistiza ndugu kuweni makini Na kibaka hyu na ikiwezekana awekewe mtego akamatwe kwa sababu anadhalilisha forum View attachment 771956
NAZANI MKUU WASTAHILI KUNIOMBA RADHI JUU YA COMMENT ZAKO ZA JANA.
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hyo muhimu!! Tunaomba kuwe kuna utaratibu ambao kama mtu akilalamikiwa hv na idadi kubwa ya watu wafanye kuifunga hyo account yake! Mods please!
Ukifunga anafungua nyingine tu
 
Mimi nachoomba jf wangeweka mfumo wa kujisajili hawa jamaa wa graph designer wanaofanya biashara kuna huduma zingine ni ngumu kupata mtaani lakini ndo hivyo kufanya kazi na graph designer wa bongo ni stress type yataka moyo
Salum Mohammed kuwa na hofu ya Mungu
Unampaje kazi mtu usiyemfahamu wala hujui namna ya kumpata akipotea? Kutapeliwa mtandaoni ni ujinga wa kujitakia
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hyo muhimu!! Tunaomba kuwe kuna utaratibu ambao kama mtu akilalamikiwa hv na idadi kubwa ya watu wafanye kuifunga hyo account yake! Mods please!
Hata ukifunga si anafungua akaunti nyingine tu ? Awekewe mtego ili anaswe
 
Unampaje kazi mtu usiyemfahamu wala hujui namna ya kumpata akipotea? Kutapeliwa mtandaoni ni ujinga wa kujitakia
Kwa wale mablogger wamenielewa kuna huduma huwezi kuzipata mtaani ushawahi kusikia mtu anauza adsence mtaani changamoto kubwa mtu upo dar mwingine yupo mwanza mmekutana jf
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hyo muhimu!! Tunaomba kuwe kuna utaratibu ambao kama mtu akilalamikiwa hv na idadi kubwa ya watu wafanye kuifunga hyo account yake! Mods please!
Kabla hajafungiwa ni vizuri kujiridhisha kwanza kabla ya kufanya jambo kwa mihemko,siku nyingine unaweza kuambiwa wewe tapeli ukahukumiwa kwa mihemko kumbe sio.
 
Back
Top Bottom