Tapeli limekuja na mfumo huu ...kuweni makini

Tapeli limekuja na mfumo huu ...kuweni makini

Mdogo angu alilizwa na rafiki yake mkubwa walosoma nae. Mi nikaishia kumwambia ungeniuliza mana huu utapeli wa zamani sana
 
umetisha mkuu
Alinipigia sim nikajifanya kumuelewa nikamwambia hela yangu ipo kwa mtu hivyo hadi nifanye nae mawasiliano nae akaniambia wasiliana nae nikachuna baadae akanipigia nikamwambia sina salio nashindwa niwasiliane nae vipi...mara paap nikatumiwa buku jero nikalipa nipige tafu nikakopa tena maisha yakaenda ...nikaambulia tusi jipya
 
Back
Top Bottom