Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,652
acha ujinga hata wauza dawa walitajwa hadharani soma elewa kwanzaElezea utapeli wake amefanya/kakufanya nini.
Isiwe unachuki na mtu huko ukaamua kumchafua.
Mod futa huu Uzi Kama hataleta maelezo ya kutosha
Chief mbona kama unamtafuta bundalaKumbe we mshikaji jina lako halisi ni Bundala.... Unaitwa Bundala nani???
Na kweli wewe n askari muogaacha ujinga hata wauza dawa walitajwa hadharani soma elewa kwanza
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
jibu hoja...acha mihemuko, imetapeliwa nn hapo??acha ujinga hata wauza dawa walitajwa hadharani soma elewa kwanza
fuata yako mkuuKumbe we mshikaji jina lako halisi ni Bundala.... Unaitwa Bundala nani???
Mbona naona ww ndiyo mjinga sanaaa Mgambo hewaacha ujinga hata wauza dawa walitajwa hadharani soma elewa kwanza
Mkuu vp zile tabia zako za kula papuchi umeacha?Kumbe we mshikaji jina lako halisi ni Bundala.... Unaitwa Bundala nani???
Huyo jamaa nami kaniandikia mara mbili hizo SMS zake. Mara ya kwanza nilimjibu kuwa umekosea namba. Nilipopata siku nyingine nikajua ndio wale wale!!HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
Mkuu vp zile tabia zako za kula papuchi umeacha?
Ni kweli hawa jamaa wana style nyingi sana,HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
safi kijana tcra wanakula tu ubuyuHuyo jamaa nami kaniandikia mara mbili hizo SMS zake. Mara ya kwanza nilimjibu kuwa umekosea namba. Nilipopata siku nyingine nikajua ndio wale wale!!
hapa mjini shule, unapelekea shule hata kama huna ada wala uniform