Teresia Mahimbi
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 271
- 91
Wadau naaomba mjihadharii na huyu Tapeli anajiita Peter kutoka CAPITAL REFINERY( if ni kweli kuna kampuni inaitwa hili jina); ansumbua watu yuko kwenye interview panel anataka atumiwe hela ili aakusaidie kazi..Ni mpuuzi kwa sababu hajui watu anaodeal nao wana ELIMU kumshinda yy.so wale wote wanaotafuta kazi ukikutana na msgs ya huyu mpuuzi wala usijihangaishe nae,delete KABISA na umtukane kabisa..namaba anayotumia ndio hii 0767 813664; wenye M-Pesa hebu msaidie kucheki imesajiliwa kwa Jina gani ili tumuumbue mshenzi huyu. NAWASILISHA