Mary Mlatie amefariki jana,alishawaikufanya kazi NBC kwenye miaka ya 80 kama afisa habari alikuwa anatangaza vipindi vya redioni kuhusu NBC. Mala ya mwisho amefanya kazi TAKUKURU. Mipango ya mazishi inafanywa SINZA.