Aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Dah watangazaji wanaondoka kwa kuongozana Muyenjwa,Samadu na sasa Kaiza...Mshana Jr could you analyze the situation in accordance to your Upare ghost spirits.