Mwenyekiti wa serekali ya mtaa kivukoni, kata ya kivukoni wilaya ya ilala, bwana Makame. ameaga dunia ghafla baada ya plesha kupanda na ikapelekea kuanguka, na kukimbizwa muhimbili ambapo ameaga dunia. Ikumbukwe mtaa wa kivukoni ndo mtaa iliyopo ikulu ya tanzania. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.