Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Mbunifu Dame Zaha Hadidi , ambaye alibuni majengo mengi ikiwa ni pamoja na London Olimpic Aquatic Centre, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Dame Zaha Hadidi amabte ni mzaliwa Iraq , mwaka huu alikuwa mwanamke wa kwanza kupokea tunzo ya Royal Institute of British Architects Gold Medal kama utambuzi wa kazi yake.
Amefariki kwa mshtuko wa katika hospitali Miami, ambako alikuwa akitibiwa ugonjwa wa mapafu. Miundo yake imeigizwa duniani kote, ikiwa ni pamoja na majengo katika mji wa Hong Kong , pia nchini Ujerumani na Azerbaijan.
Wakati wa kuchukua medali yake ya dhahabu katika Februari, Dame Zaha alisema yeye kwake ilikuwa fahari kuwa mwanamke wa kwanza kushinda na ilikuwa haki yake. Alisema;
Dame Zaha moja ya kazi yake ya ubunifu ni pamoja na Serpentine Sackler ambayo ni sanaa katika jiji la London, Riverside
Pia makumbusho katika jiji la Glasgow na Guangzhou Opera House huko China.
Dame Zaha alizaliwa mjini Baghad huko Iraq , alisoma Hisabati katika Chuo Kikuu Beirut kabla ya kujiingiza katika kazi yake katika Chama cha Architectural jijini London.
Mwaka 1979 alianzisha kampuni yake mwenyewe iitwayo Zaha Hadidi Architects na mradi wake wa kwanza kujengwa ni Vitra Fire Station huko Weil am Rhein nchini Ujerumani.