Kama kawaida j.k hakuwepo kwenye mazishi wala kiongozi yeyote wa rerikali wa bara.lakini ingekuwa na mazishi ya askofu angekuwepo.haya bwana tushazoea waislam.
Makamu wa Rais wa JMT na Maalim Shariff Hamad Makamu wa kwanza wa SUK walikuwa miongoni ......... Ikumbukwe Sheikh Ilunga alikuwa akisakwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi hadi anakutana na mauti hakuwahi kukamatwa wala kuhojiwa na jeshi la polisi.Maana yake nini ?.Serekali ilikuwa ikimlinda asikamatwe kwakuwa matamshi yake ya kichochezi yalikuwa yakiwafurahisha viongozi wa serekali ya Kikwete.
Mungu awape haki yao wale wote wanaolinda wahalifu kama Sheikh Ilunga.
Kamata kadinali uaaaa! Kamata padiri, kamata walei uaaaa! Kamata askofu uaaa! Haya ndio maneno ya sheikh ilunga ambae waislamu wanamuita kiongozi wao tena shujaa! Kwa nini tusiamini kuwa baadhi ya dini ni za ibilisi?