TANZIA;She Hanzuruni Hatunae Tena!

TANZIA;She Hanzuruni Hatunae Tena!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,822
Miezi miwili baada ya kutoka Keko kwa Kosa LA ubadhirifu,alitoka kwa dhamana ya Milioni 200m yeye na mwenzake!

Aliwai kuwa mkuu wa chuo cha uhasibu miaka mingi sanaaa!

Inasemekana presha na hofu ya kufungwa na kufilisiwa Mali maze na serikali ya awamu hiii,imechagia kwa kiasi kikubwa kufa kwake!

Niko njian naelekea msibani yatakayojiri ntawajuza!

Alikabiliwa na kosa LA kununua kiwanja cha kujengea tawi LA chuo,badala ya 600 yeye na wenzake waliandika 1.2b na wizara ikatoa,amestafu anazaidii ya mmiaka mitano ila uongozi wa sasahiv ukefukua kaburi!

Cc; mkuu wa nchi uliowatumbua waanza kurudisha no!
 
Mkuu kichwa cha habari kiko sawa kweli? Alikuwa akiitwa She Hanzuruni kweli?

Halafu naona unalaumu lakini kuna sehemu unaonyesha kwamba bei ilikuwa Shs. 600 (m?) wao wakaongeza hadi Shs. 1.2bn. Nadhani ungesema walituhumiwa Kwa sababu ukiacha hivyo ulivyoandika inakuwa kama hiyo habari imethibitishwa.
 
Utamu wa leo unaweza ukawa uchungu wa kesho.
Wakati wanapiga dili waliona faida hawakujua kuwa dunia inazunguka na ipo siku yatarudi kwa aina tofauti.
R.I.P
 
Attachments

  • IMG-20171231-WA0020.jpg
    IMG-20171231-WA0020.jpg
    20.3 KB · Views: 44
  • IMG-20171231-WA0019.jpg
    IMG-20171231-WA0019.jpg
    20.5 KB · Views: 37
R.I.P Hanzuruni mtaalamu wa MANAGEMENT ACCOUNTING/PERFORMANCE MANAGEMENT
 
Back
Top Bottom