TANZIA: RPC Singida afariki dunia

Kakamba mpiganaji hodari toka Iringa Regional pole sana kwa familia yake IPO Mufindi daima tutakukumbuka Baba
 
Pumzika kwa amani kamanda...asante kwa huduma yako hapa duniani kuhakikisha usalama wetu..hakika Mungu atakulipa..pumzika kwa amani
 
Wakiwaga hai Hawa wanakuaga makauzu kweli kapumzike kwa amani msalimie mwalimu mpe hali halisi ya njaa tuliyonayo watanzania. Namba tunaisoma 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…