kwa masikitiko makubwa naomba kutoa taarifa za kufariki bibi mzaa baba wa mwana
chit chat mwenzetu na mke wangu mpenzi
romantic eyes...
hivi sasa yuko njiani kuelekea Lushoto Tanga kwa ajili ya mazishi....
msiba huo umetokea jana mchana...
pole sana mpenzi na mke wangu kwa kipindi hiki kigumu mbele yako... R.I.P bibi yetu, tulikupenda lakini MUNGU kakupenda zaidi
CC mama mkwe
Khantwe, shemeji yangu
janeth1, marafiki
kiwatengu,
miss chagga,
tumboo na wengine kibao