First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
kwa masikitiko makubwa naomba kutoa taarifa za kufariki bibi mzaa baba wa mwana chit chat mwenzetu na mke wangu mpenzi romantic eyes...
hivi sasa yuko njiani kuelekea Lushoto Tanga kwa ajili ya mazishi....
msiba huo umetokea jana mchana...
pole sana mpenzi na mke wangu kwa kipindi hiki kigumu mbele yako... R.I.P bibi yetu, tulikupenda lakini MUNGU kakupenda zaidi
CC mama mkwe Khantwe, shemeji yangu janeth1, marafiki kiwatengu, miss chagga, tumboo na wengine kibao

Poleni sana familia ya First Born, mungu awape nguvu sana katika kipindi hiki kigumu.
mimi na mke wangu mpendwa shansarie tunawaombea.