TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu



The real father of nation ni huyu kulia Joshua Nkomo
(RK Mugabe kasingiziwa tu)
 
RIP RG Mugabe, sasa nenda kakutane na waliokutangulia mbele ya haki oops, Takawira, Tongogara nk. kuna maswali ya kujibu huko.
 
Huwa naudhika Sana kwa Hawa wauaji kuitwa wazalendo!!!
 
Yeye alifanya nini sasa kwa hao wanavyuo zaidi ya ukandamizaji tuu.
Hatimaye kisiki cha mpingo kimetoka kwa mbinde!
Nitamkumbuka kwa mawazo yake ya kuwaomba wanaowataka watoto kujiajili watokapo chuo,
Ingependeza wakajiuzulu ili wakajiajili wao kwasababu wana mitaji tayali,ili kuongeza wigo Wa ajira
 
10. Alimwambia balack Obama kuwa kama anataka nchi ya zimbabwe ikubaliane na ndoa ya jinsia moja basi yeye amuoe Balack Obama.

R.I.P Robert Mugabe
Watz bwana, usikute hata wewe una PhD, japo huwezi kuandika Jina la Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama badala yake unaandika 'Balack!!!'
 
Hii historia bado viko vingi haviajandikwa kumhusu Mugabe MF kutua Roma kumzika Papa John wapili emu andika na historia ya maisha yake kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…