TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Geita Shija Kisenang'wi amefariki dunia

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
Chadema wilaya ya Geita tunaskitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti Wa Chadema Wilaya ya Geita Kamanda Shija Kisenang'wi ambacho kimetokea Leo.

Chanzo cha kifo hakijajulikana ni nini tutawajuza baada ya uchunguzi Wa Madaktari utakapokamilika, Ukweli Tumeondokewa na mpambanaji ambae alikuwa msaada mkubwa ndani ya chama.

Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihidimiwe.

Imetolewa na:

Mhere Mwita,

M/kiti Wa Bavicha (W) ya Geita.
 
Wewe Mwenyewe Mhere Mwita Unaendeleaje? Poleni Sana Kwa Msiba. R I P
 
Back
Top Bottom