Tanzia: Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Olorieni Kupitia CHADEMA Afariki Dunia

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
TANZIA!! TANZIA!! TANZIA!!

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO WILAYA YA ARUSHA MJINI (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya OLOIRIEN ndugu JOSEPH MADARAKA BIWA aliyepatwa na umauti leo Alhamisi tarehe 19/07/2018 majira ya saa 10:30 jioni katika Hospitali ya Mount Meru Arusha.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu maeneo ya Msikiti wa MWANAMA Mtaa wa Moivoi Kata ya Oloirien.

KISANYAGE INNOCENT J,
KATIBU,
CHADEMA WILAYA ARUSHA.
19-07-2018
 
RIP kamanda.
Misiba ya viongozi wa chadema wa kanda zingine wa hadhi hiyo wasio kanda ya kaskazini wakifa huwa hatuoni nyuzi zikianzishwa humu jamii forums Na viongozi wakubwa wa chadema Huwa hata hawahudhuri.Huo msiba lazima watahudhuria .Poleni watu wa kaskazini Kwa msiba huu mkubwa kwenu mheshimiwa Masai kiongozi wa Bavicha Patrick ole Sosopi . Mwenyekiti chadema mheshimiwa Mbowe,Lowasa,Sumaye,Halima Mdee,Godbless Lema,Nassari Na watu wote wa kaskazini Poleni sana Kwa msiba huu mkubwa wa kigogo kiongozi wa kata wa Chadema aliyel chini ya kanda ya kaskazini
 
Kasha la kichwa chako limebeba takataka badala akili
 
RiP kamanda

Na hilo nalo.linakuuma?? Aisee kweli wachawi hawataisha duniani.
 
Back
Top Bottom