Hahhhhha sasa ukizipata namba unaanzaje kuwapigiaa,au watsapp unarusha picha au hebu nipe teknik zako
Hahhhhha sasa ukizipata namba unaanzaje kuwapigiaa,au watsapp unarusha picha au hebu nipe teknik zako
Basi nakufowadia namba ya naima halaf umuombe namba ya ck au??
Yaan picha tu zinaongea, haina haja ya kujitambulisha cjui mi chausiku au bwyonce,we tuma picha tu
Hyo hata mi nnayo
Loading Error....
Nina # za john komba, bernard membe, ridhiwan, mnyika, shigongo, rommy jones, martim kadinda, dimpoz, babu tale, baba loraa, haidery kavira na wengine, sasa chagua mmoja apo
Miye nitumie na wengine
Unajua wewe binamu ni mtambo, aaaaaah aaaah, unajua wengine ni nani?
Huyu ndo alikuwa rafiki yake sana na marehemu, anaitwa odama, hadi mimba walibeba wote, yeye sijasikia kuzimia ,naona uwoya kaguswa sana..
Yaan picha tu zinaongea, haina haja ya kujitambulisha cjui mi chausiku au bwyonce,we tuma picha tu
Unajua wewe binamu ni mtambo, aaaaaah aaaah, unajua wengine ni nani?
Watakuwa first class ndo maana hujawataja nipm tu number zao
aluuu, kumbe odama naye mama kijacho
si mama kijacho tena tayar anamtoto
Mi siwaamini bongo movie kabisa unaweza ukadhani alizimia kumbe yuko kwenye kitengo chake.a