TANZIA: Mchezaji raia wa Burundi, Papy Faty aanguka uwanjani na kufariki

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kiungo wa zamani wa Klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, Papy Faty amefariki jana Aprili 25 baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mchezo kati ya timu yake ya sasa, Malanti Chiefs na Green Mamba nchini eSwatini

Mchezaji huyo(28) aliyefutiwa mkataba na Klabu ya Wits miaka michache iliyopita kutokana na kugundulika kuwa na matatizo ya moyo, alianguka uwanjani baada ya dakika 15 tu za mchezo kupita

Mchezaji huyo ambaye alikataa ushauri wa Madaktari baada ya kugundulika na matatizo na hivyo kuendelea kusakata kabumbu, alikimbizwa hospitalini baada ya kuanguka lakini Madaktari wanasema alifia njiani
========

Former Bidvest Wits midfielder Papy Faty passed away after collapsing on the pitch in Eswatini on Thursday afternoon.

The 28-year-old collapsed during a league match between Malanti Chiefs and Green Mamba at the Killarney Stadium in Piggs Peak outside Mbabane.

The Burundi international, who was released from his contract with Wits a few seasons ago due to heart problems, collapsed on the field of play after only 15 minutes on the pitch.

He ignored advice from doctors and continued playing. He was once quoted in KickOff Magazine saying that witchcraft was the cause of his ill-health and that he was determined to continue playing football.

He was rushed to hospital, where he was declared dead.

Faty's death has been confirmed by one of the senior officials at Malanti Chiefs but he declined to reveal more information before the player's next of kin is informed.

Faty recently helped Burundi qualify for the Africa Cup of Nations finals.

IMG_20190426_131339.jpeg
 
R.i.p

Kifo kipo wakati wowote na mahali popote, hakiepukiki wakati ukifika umefika.
 
Bidvest waliona mbali ila ndio hivyo tena alipangalo Mwenyezi Mungu haliepukiki! R.I.P Papy Faty
 
Back
Top Bottom