Tanzia: Kwa heri profesa Gabriel Mwaluko

Tanzia: Kwa heri profesa Gabriel Mwaluko

MZABIBUASILI

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
287
Reaction score
38
Habari wanajf leo ndiyo siku tunayomuaga mpendwa wetu prof.g.mwaluko tupo hapa st.john university tukitoa heshima za mwisho kabla ya kumpeleka katika kijiji cha chikuyu karibu na manyoni singida na kwenda kuulaza mwili wake katika makazi ya milele.mwili wake uliwasili saa 12 usiku ukitokea india.nitawatumie picha nitakapotulia vizuri.bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ameni.
 
Kwa niaba ya Wana-Mwanza, ulikoishi na kutumia ujuzi wako kwa miaka mingi hasa katika Vita ngumu dhidi ya gonjwa la Ukimwi..... Rest In Peace, Professor Mwaluko!
 
R .I. P prof. Bwana ametoa, bwana ametwaa jina lake liimidiwe.
 
Back
Top Bottom