TANZIA: Katibu wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati hapa Arusha afariki Dunia

Kweli inauma sana,Elinami Ngutata (tulizoea kukuita Namy) umeondoka,tumekuwa wote,tumesoma wote primary,ni juzi tu tumeongea wote ukiwa na mipango mingi ya maisha,watakukumbuka daima wanafunzi na waalimu wa Mulala primary ulivyowasaidia hata leo wanafunzi wanapata chakula shuleni.
Tunakuombea kamanda Mungu akurehemu maana hatujui siku wala saa yetu tuliobaki.
 
Huu msiba ni wa wote wapenda amani na mabadiriko katika nchi hii alazwe pema peponi Kamanda tulikupenda sana na kukuhitaji sana lakini Mungu kakupenda zaidi wewe umetangulia nasi tunafuata R.I.P

Ee Mungu si ungesubiri huyu kiumbe ashuhudie 2015 ccmu inavyokabidhi madaraka?? Haya kazi yako haina makosa RIP kamanda
 
Poleni sana wana demokrasia wote
Poleni sana wanachadema wote
poleni sana wana arusha wote

Marehemu apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom