S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Nov 23, 2014 #21 Pole wafiwa ila marehemu ulipwe kwa kadri ya uliyoyatanguliza. Amen.
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,810 Nov 23, 2014 #22 Kwa sasa magamba nawafananisha na yule housegirl aliempiga mtoto mdogo kule kampala!
M MTU WA NJIA HII JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 237 Reaction score 52 Nov 23, 2014 Thread starter #23 Hapana huyu ni mdogo wake,mkubwa ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri anaitwa Methew Lubongeja
Ibravo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 539 Reaction score 202 Nov 23, 2014 #24 MTU WA NJIA HII said: Diwan wakata ya Mwabaluhi mjini Sengerema Mwanza mh.Paul Lubongeja akijulikana zaidi kwa jina la Paluma amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 22/11/2014.Mazishi yatafanyika kwao Katunguru.Wananchi wa Mwabaluhi hawatakuwana diwani karibu mwaka mzima. Click to expand... We ulidhan diwan wa CCM hafi??
MTU WA NJIA HII said: Diwan wakata ya Mwabaluhi mjini Sengerema Mwanza mh.Paul Lubongeja akijulikana zaidi kwa jina la Paluma amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 22/11/2014.Mazishi yatafanyika kwao Katunguru.Wananchi wa Mwabaluhi hawatakuwana diwani karibu mwaka mzima. Click to expand... We ulidhan diwan wa CCM hafi??
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,784 Reaction score 3,209 Nov 23, 2014 #25 R.I.P kiongozi mfikishie salam mgimwa mwambie asijali tushawajua wale wezi wake