r.i.p Ben,ukimuona Halima Mchuka mwambie tunaimiss sana sauti yake hasa tukimkumbuka wakati anatangaza mpira,pia usisahau vile vile kumfikishia salamu mzee wangu David Wakati mwambie nae vijana wake tunamkumbuka sana.

RIP mzee wa MAMBO HAYOOO!!
aliripoti taarifa za vita ya Uganda bila kuchakachua!
eg. alisema wajeda wa tz walipigwa na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji!