Tanzanite account kweli feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanite account kweli feki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by epigenetics, Jan 25, 2010.

 1. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hivi kwanini Benki za tanzania haziaminiki? Mimi ni mteja wa hiyo Tanzanite account ya CRDB, na mpaka ninavyoandika sasa ni mwaka sijapokea kadi yangu. Nilienda pale Tower Branch kujaza fomu na kuwapa address yangu, lakini ni miezi zaidi ya 10 sijasikia kitu. Ukiwapigia simu unaambiwa namba uliyopiga hawahusiki na account hiyo, mara huyo mratibu wa Tanzanite account Ms. Tondi hayupo, au amehamia Arusha, basi ilimradi wakuzungushe tu.

  Why are we Tanzanians not serious with customer service?

  Walikuja na idea nzuri kwa kutufungilia account watanzania wa Diaspora, ila naona walikurupuka tu bila kuwa na idea wanafanya nini; lack of concrete long-term plan.

  Yaani nilicheka nilipoona wanaandika kwenye daftari majina ya wanaofungua account.
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  Mkubwa nadhani bado wapo nyumba kidogo kwenye haya mambo alafu nasikia wasumbufu sana yaani...

  N.B umeniacha hoi hapo uliposema sema uliona wanaandika kwenye kitabu majina ya wanaofungua account haha sio mchezo kaka kweli hilo ni balaa sasa!!
   
Loading...