Hawa wasomi bora kwa mambo ya wao kupigania taaluma zao wangekuwa wanatoa press conference za taaluma zao kwa kiEnglish kama wenzao wa Uganda, Kenya, South Sudan, Zambia, South Afrika badala ya kiLugha hiki cha kwetu KiSwahili
Kupigania standards za kitaaluma lazima habari hizi nzuri zivuke mipaka kujua kuwa mawakili na wanasheria wasomi wanaweza kushindana na wenzao wa kanda hii na ulimwenguni
Mambo ya kutumia kiLugha kinawafanya kuwa standard zenu ni za chini sana kulingalisha na mawakili wa nchi wanachama wa jumuiya Commonwealth wanaoongea lugha ya kimataifa ya kiEnglish wakati wa kufafanua mambo yanayogusa maslahi na pua kutetea viwango vyenu kimataifa