mwandishi angeandika tu kwa kiswahili ili aeleweke sasa angalia......The contribution of mining sector to the GDP still very law but Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo says, the government wishes to expand this to 10% by 2025 , "a target we think is too optimistic," he said.
neno law alikuwa anamaanisha nini? but Minister au angeandika .... the minister of... (Kiswa-English)
kama baadhi ya migodi inafungwa kwanini asingeuliza ni kitu gani kitapandisha pato la taifa anatuacha hewani. hawa watu hawajui kuna kitu kinakuja kinaitwa "gold dillema" dhahabu iliyokwashachimbwa sio kama ubwabwa. iliyopo juu ya Ardhi ni nyingi zaidi kuliko hiyo ambayo ipo chini kwa teknolojia iliyopo.
Hawa wawekezaji hatuoni manufaa yao bora wachimbaji wadogo wadogo manufaa yao tunayaona.
mwandishi angeandika tu kwa kiswahili ili aeleweke sasa angalia......The contribution of mining sector to the GDP still very law but Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo says, the government wishes to expand this to 10% by 2025 , "a target we think is too optimistic," he said.
neno law alikuwa anamaanisha nini? but Minister au angeandika .... the minister of... (Kiswa-English)
kama baadhi ya migodi inafungwa kwanini asingeuliza ni kitu gani kitapandisha pato la taifa anatuacha hewani. hawa watu hawajui kuna kitu kinakuja kinaitwa "gold dillema" dhahabu iliyokwashachimbwa sio kama ubwabwa. iliyopo juu ya Ardhi ni nyingi zaidi kuliko hiyo ambayo ipo chini kwa teknolojia iliyopo.
mwandishi angeandika tu kwa kiswahili ili aeleweke sasa angalia......the contribution of mining sector to the gdp still very law but minister for energy and minerals, prof sospeter muhongo says, the government wishes to expand this to 10% by 2025 , "a target we think is too optimistic," he said.
Neno law alikuwa anamaanisha nini? But minister au angeandika .... The minister of... (kiswa-english)
.