Reuters said:- Tanzania’s gold exports rose 23% in the year to July, its central bank said on Thursday. Africa’s fourth-biggest gold producer after South Africa, Ghana and Mali hopes to see a rebound in its mining sector after a tax crackdown and overhaul of its mining code in 2017 spooked foreign investors.
“The value of gold exported (in the year ending July 31) ... …. grew at an annual rate of 23.3% to $1.783 billion because of an increase in export volume,” the (central) Bank of Tanzania in its latest monthly economic report. The report did not provide figures for export volumes.
The country’s gold exports in the previous year amounted to $1.45 billion. Gold accounts for more than 40 percent of the East African nation’s non-traditional exports. Tanzania exported gold worth $1.549 billion in the 2018 calendar year, up slightly from $1.541 billion a year earlier, central bank data shows. Tanzanian President John Magufuli, who took office in late 2015, is pushing for more revenue from the mining sector, which is a relatively small contributor to national output.
In 2017, the government passed laws which the industry complained would be costly and onerous. Among other things, the laws hike taxes on mineral exports, mandate a higher government stake in some mining operations and force the construction of local smelters, a move some companies said was uneconomic. Magufuli also ordered the central bank in January to start buying the country’s gold to curb smuggling and build reserves to stabilise the local currency.
Naunga mkono hoja, kumbe ni kweli tulikuwa tunaibiwa sana, kama tumezuia makanikia, tumesitisha uzalishaji North Mara, na gold export zimeongezeka, then tulikuwa tunapigwa kweli kweli, sasa tukiruhusu makinikia na kufungua North Mara, si Gold export zitapaa?.
This is very good news.
P
Na utakuta mapumbavu yasiyo hata na data yatapinga!Aisee! Na utakuta kuna majuha wanakubaliana na hizi propaganda!
Na utakuta mapumbavu yasiyo hata na data yatapinga!
Let's wait for that day fella!Endeleeeni kujiona wenye akili, ipo siku meza itapinduka na hamtaamini mtakayoyaona.
Naona umeniwahi na hii report brother, i saw this asubuhi hii CNN. Nilitaka kushare hapa JF pia, kuwa kama taifa tunaelekea pazuri kwenye sekta ya madini. Tremendous!Hizi habari ni njema kwa taifa letu.
Uncle wangu unajua kuna ndugu zako 110 wamepoteza kazi huko North Mara?, watoto wao watakula nini?, vipi ndugu waliokuwa wanawategemeasasa tukiruhusu makinikia na kufungua North Mara, si Gold export zitapaa?.
Siungi mkono mtu yoyote kupoteza ajira, ila pia kuna wakati inafikia hakuna jinsi yoyote kwa entity ku survive bali ni lazima ipunguze wafanyakazi.Uncle wangu unajua kuna ndugu zako 110 wamepoteza kazi huko North Mara?, watoto wao watakula nini?, vipi ndugu waliokuwa wanawategemea
Kwahiyo ume declare kwamba uchumi unashuka, at the same time unasema uchumi unapanda msimamo wako upo wapi?Mpaka sasa ban on export gold concentrate inaendelea, mgodi ume change umiliki toka kwa Acacia kwenda kwa Barrick, tena kwa taarifa tuu sio North Mara pekee watapunguza wafanyakazi bali migodi mingine itafuata, na taasisi kibao zinafuta due to shrinking economy.
Nakubaliana na wewe 100% Mungu anamipango yake sawa, jamii zinazozunguka migodi hiyo je uchumi wake utabaki the same?, hao watu wakilipwa hiyo unayoita golden shakehand unauhakika maisha yao watakuwa wanaishi karibu na migodi ili mzunguko wa hela usipungue maeneo hayo?, hili swala ni pana sana na majawabu yake yanahitaji hekima kubwa mnoIla pia Mungu nae ana mipango yake, hivyo hao watakao punguzwa kazi, watalipwa golden handshakes ndefu nene, wenye akili watapata mitaji na kuendesha maisha mazuri zaidi, na wengine watazitumbua na kusubiri kudra za Mwenyezi Mungu.
Haters watakataa kata kata! Bure kabisa...Hizi habari ni njema kwa taifa letu.
Kaka mungu Hana jembe wewe Lima ukivuna ndio anabariki kazi ya mikomo yako, hakuna Baraka kwenye kufutwa kaziNakubaliana na wewe 100% Mungu anamipango yake sawa, jamii zinazozunguka migodi hiyo je uchumi wake utabaki the same?, hao watu wakilipwa hiyo unayoita golden shakehand unauhakika maisha yao watakuwa wanaishi karibu na migodi ili mzunguko wa hela usipungue maeneo hayo?, hili swala ni pana sana na majawabu yake yanahitaji hekima kubwa mno
Mwalimu wa Tuisheni, umeisha wahi kutembelea maeneo yenye migodi mikubwa?. Tuanzie na Mwadui, nenda Kahama, nenda Geita, nenda North Mara, Bulyankhulu etc, angalia maisha ya mgodini na maisha ya nje ya mgodi ni mbingu na nchi!. Migodini wanaishi kama peponi huku nje ya migodi ni kama Jehanum kwenye umasikini uliotopea!.Nakubaliana na wewe 100% Mungu anamipango yake sawa, jamii zinazozunguka migodi hiyo je uchumi wake utabaki the same?, hao watu wakilipwa hiyo unayoita golden shakehand unauhakika maisha yao watakuwa wanaishi karibu na migodi ili mzunguko wa hela usipungue maeneo hayo?, hili swala ni pana sana na majawabu yake yanahitaji hekima kubwa mno
Mkuu Mwalimu wa Tuisheni, kuna aina mbili za uchumi. Macro Economics, ni uchumi mkubwa na Micro Economics, uchumi mdogo wa mtu mmoja mmoja.Kwahiyo ume declare kwamba uchumi unashuka, at the same time unasema uchumi unapanda msimamo wako upo wapi?