Rais wa TZ ni mwenye tabasamu, kucheka, kucheka cheka, kufurahi
Wananchi nao ni wenye kufurahi, kucheka, kucheka cheka, wanatabasamu. wamepewa ahadi ya maisha bora wanahitaji nini tena?
Wacha wawe na furaha. Furaha haitokani na kuwa na mali. Furaha huletwa kwa kuwagana umaskini!
Pia kwa kuhimizana kufunga mikanda.