haha these guys compare themselves with kibera wanaona wao wako better.,, that's why you keep posting pics of kibera so that you can console yourselves that you are better than Nairobi.,,You forget kibera is hypothetically 1% of total area in Nairobi which you can't compare with over 90% dar slum which look like this[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
View attachment 1115996View attachment 1115997View attachment 1115998
Keep comparing dar slum with kibera utakufa ukiona how developed Nairobi really is
kisha tupia hyo link nikuumbue....heheeee...leo kuna mtu nataka nimtoe povu kabisa....
uaniulizi kukodisha na wakti umeniletea miaka hapa...mtu bongo hana uhuru wa kukaa na ardhi milele atakavyo...it's either 33yrs 66ys au 99yrs....sasa hko si ndio kukodishiwa...ati baada ya 99 ndio unaweza kuwa na right ya kuimiliki na n mpka serikali ikubali...ikikataa una renew kitu....bwahaaa
ummayed....wacha kunidanganya hapa....general land na reserved land ukitaka unakodisha kw hyo miaka...huwez nidanganya mm...bwahahaaaa....
labda uwe unaishi kijijini...manake village land land ndio ni ya community ...heheeeee!!!wewe na simon km mnaishi kijijini kubalini tu...wenzenu hapa waneshakubali tu km mnakodishiwa ardhi kutoka kw serikali....
Kama zinatofauti na umeitumia vibaya kwanini nisiseme? i just pointed it out, kama haijakusaidia itamsaidia mwingine. Anyway ukipata content constructive njoo tujadiliane.Duh asee we ni bure kabisa asa hapo umerekebisha nn ni sawa na kutofautisha killing and murdering pole sana.
Naona mtoa Uzi bila shaka we ndo garderner wa izo nyumba naonq umepost mijengo ya location moja tu.... Bahati mbaya ss wengi humu sio vibarua wa wenye estate hapa bongo na tupo busy sanaaaa na mambo ya noti ss kamq we utaweza njoo bongo tukutembeze kwenye izo estate
Mwenye uchumi mzuri hawezi kuwa na madeni? Which planet do you live in?? Na Aliyekuambia haya ni nani? Ingia google uangalie kiwango cha deni USA iko nayo. Utashangaa sana. Mnajifanya wajuaji ila hakuna mnachoelewa hata mojaKijana mwenye uchumi mzuri hawez kuwa na madeni makubwa,hawez kuwa na mzozo wa wanawake kumiliki ardhi km mlivyo kenya hawez akawa ana sehem kuna njaa miaka nenda miaka rudi sawa remedy urselves
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]....Mshukulu mchina kwa kuwajengea estate ya kwanza Tanzania[emoji38][emoji38]....na bado hapo anachezea hasara sababu sioni mpangaji yeyote akija kuishi hapo, sababu wanainchi wote wa Dar ni masikini na wanaridhika kuishi kwenye slums [emoji26][emoji16][emoji16]
Mkenya hawez kuishi maisha anayoishii mtz.. Labda mnaweza kuprentend kuwa na maisha mazuri ila uhalisia unaujua na wala hatutaki bishana na nyie kuhusu hiloo..wakenya mnashida sana..hivi unajua rekodi ya watu wanaojiua Kenya imeeongezeka kiasi gani sababu ya umasikin uliotukuka???Hebu dhibitisha haya madai yako maana Mimi naweza kukuletea ushahidi kwamba wakenya tunaishi Maisha Bora kuwaliko
Sasa umeamua kutoa povu. Nimekuuliza Swali rahisi Sana... Unaweza kudhibitisha kwamba Watanzania wanaishi maisha bora kuliko wakenya? Kama huwezi leta dhibitisho, afadhali unyamaza tu. Huo ndio mtindo hapa jf, ukileta madai lazima udhibitishe kutumia linksMkenya hawez kuishi maisha anayoishii mtz.. Labda mnaweza kuprentend kuwa na maisha mazuri ila uhalisia unaujua na wala hatutaki bishana na nyie kuhusu hiloo..wakenya mnashida sana..hivi unajua rekodi ya watu wanaojiua Kenya imeeongezeka kiasi gani sababu ya umasikin uliotukuka???
wivu mbayaNaona mtoa Uzi bila shaka we ndo garderner wa izo nyumba naonq umepost mijengo ya location moja tu.... Bahati mbaya ss wengi humu sio vibarua wa wenye estate hapa bongo na tupo busy sanaaaa na mambo ya noti ss kamq we utaweza njoo bongo tukutembeze kwenye izo estate
Mwenye uchumi mzuri hawezi kuwa na madeni? Which planet do you live in?? Na Aliyekuambia haya ni nani? Ingia google uangalie kiwango cha deni USA iko nayo. Utashangaa sana. Mnajifanya wajuaji ila hakuna mnachoelewa hata moja
Ulisema Mwenye uchumi kubwa HAWEZI kuwa na deni. sasa kama hata Wewe unakubali USA iko na deni, mbona tubishane. Aina ya deni iko nayo haijalishi. As of 2015, USA had debts accumulating to 16.1 trillion dollars. Soma umakinike!We maden ya USA siyo ys kukopa sawa mamaa alikua na den la kukopa kwa falme za kiarab limelipwa.
Maden aliyoko nao ni kuhusu athar za vita alizosababisha second world war hiswaanul aswad ww.
Usimlinganishe USA na ww,USA hakopi ili aendeshe miradi wala hakopi ili ajibalance ktk national budget km ufanyavyo ww ila athar za vita alizozisababisha zinamfanya alipe.ht Britain wana maden pia kwa USA ila sio ya kukopa km yako kuku maji ww.
Unadhan USA wana njaa km ww mla sukuma week wa Turkana,Then maden Ya USA yanapungua ilhal yako yanaongezeka.
Nilifikiri uajua kumbe hujui kitu.
Tofautisha anayedaiwa kwa kuharibu mali ya mtu na ww unayedaiwa kwa kukopa lazma utakua na riba kubwa ilhal aliyeharibu kitu cha watu atalipa kulingana na thaman ya kile alichokiharibu ht akichelewa riba haipand kuliko ww uliyekopa ukichelewesha hela kulipa riba yapanda.
Hii ni athari ya kunyaland kula sana sukuma week pumbafyu
Mkenya hawez kuishi maisha anayoishii mtz.. Labda mnaweza kuprentend kuwa na maisha mazuri ila uhalisia unaujua na wala hatutaki bishana na nyie kuhusu hiloo..wakenya mnashida sana..hivi unajua rekodi ya watu wanaojiua Kenya imeeongezeka kiasi gani sababu ya umasikin uliotukuka???
Ulisema Mwenye uchumi kubwa HAWEZI kuwa na deni. sasa kama hata Wewe unakubali USA iko na deni, mbona tubishane. Aina ya deni iko nayo haijalishi
wivu mbaya
Sasa umeamua kutoa povu. Nimekuuliza Swali rahisi Sana... Unaweza kudhibitisha kwamba Watanzania wanaishi maisha bora kuliko wakenya? Kama huwezi leta dhibitisho, afadhali unyamaza tu. Huo ndio mtindo hapa jf, ukileta madai lazima udhibitishe kutumia links