Tanzanians get free Facebook access

Tanzanians get free Facebook access

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,571
Reaction score
53,586
Haya watani, hapa mmepiga mabao, hongera zenu, ila media zenu zipo kimya hadi itangazwe kwetu kwanza. kadoda11 Bulldog

Tanzanian mobile operator Tigo has entered into a deal with Facebook that gives its subscribers free access to Facebook in English and Kiswahili.

This is the first time that Facebook will be free on any mobile network in East Africa, Tigo general manager Diego Gutierrez said.

“Tigo customers can access Facebook through their handsets without incurring any data charges, and connect with the social media network’s two million users in Tanzania and 1.2 billion users worldwide,” said Mr Gutirrez.

KISWAHILI VERSION

In Tanzania, the brand Tigo was launched in 2006 after Millicom International Cellular decided to take full control of its Tanzanian network operator MIC Tanzania Ltd (Mobitel), by buying out its local shareholders.

It is the first time any major social media company has made a version in Kiswahili, the national language spoken by Tanzanians and majority of the people in East, Central and Southern African region.

“Facebook has been a fantastic driver of data on mobile networks,” said Mr Gutirrez.

“With this unique partnership, we are making Tigo stand out from the crowd and giving many customers their first taste of the internet and social media, including in Kiswahili.

“That’s what creating the digital lifestyle is all about, and it reinforces our strategy to encourage more Tigo customers to use data as part of their daily communications activity.”

Tanzanians get free Facebook access - Technology - nation.co.ke
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa na nyie kuzindua sijui mitungi midogo ya gas na kuanza kutunisha vifua mbele.

Vitu vingine vidogo sana, haina haja ya kwenda kwenye media.

Ni sawa na wewe kuletewa zawadi ya shati na kuanza kutangaza mtaani kuwa umepokea zawadi.

Tuna vya muhimu vya kutangaza, utalii ukiwa mmoja wapo.
 
Jameni mnafaa mshtuke na kufahamu ulimwengu wa kisasa jinsi ulivyo, zindukeni. Hii giant yenu italala hadi lini, kila siku ni vitisho tu, eti "giant will wake up one day". Hata huo utalii hamna uwezo wa kuutangaza, Tanzania ilitangazwa kuwa nchi yenye vivutio vizuri Afrika yote, lakini bado takwimu ni zile, yaani tofauti ni kidogo tu, hata Zimbabwe inawashinda kwenye jumla ya watalii.

Tatizo lenu kubwa ni kutumia Kenya kama kigezo cha maendeleo yenu, ilhali mnafaa muwe kwenye ligi pamoja na Nigeria. Madini na raslimali zote mnazo lakini bado mpo pale pale. Sisi hapa bado tuna matatizo ya Alshabaab, lakini hapo mbeleni hamkutukaribia katu. Tukiyamaliza haya, hamtatuona tena.
 
Hivi Vodacom hawakuwa na service kama hii kabla.. ? au hii ni promo tu ya Tigo kujifanya ndio wameanza hii kitu, vilevile hivi unahitaji kuingia partnership na kampuni fulani ili utoe accessibility ya bure ? au partnership is for the swahili bit... what I mean is.., has facebook got any say which / how subscribers can access their content ? Anyway, good news
 
Jameni mnafaa mshtuke na kufahamu ulimwengu wa kisasa jinsi ulivyo, zindukeni. Hii giant yenu italala hadi lini, kila siku ni vitisho tu, eti "giant will wake up one day". Hata huo utalii hamna uwezo wa kuutangaza, Tanzania ilitangazwa kuwa nchi yenye vivutio vizuri Afrika yote, lakini bado takwimu ni zile, yaani tofauti ni kidogo tu, hata Zimbabwe inawashinda kwenye jumla ya watalii.

Tatizo lenu kubwa ni kutumia Kenya kama kigezo cha maendeleo yenu, ilhali mnafaa muwe kwenye ligi pamoja na Nigeria. Madini na raslimali zote mnazo lakini bado mpo pale pale. Sisi hapa bado tuna matatizo ya Alshabaab, lakini hapo mbeleni hamkutukaribia katu. Tukiyamaliza haya, hamtatuona tena.
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yet Kama si kimbelembele.
 
Jameni mnafaa mshtuke na kufahamu ulimwengu wa kisasa jinsi ulivyo, zindukeni. Hii giant yenu italala hadi lini, kila siku ni vitisho tu, eti "giant will wake up one day". Hata huo utalii hamna uwezo wa kuutangaza, Tanzania ilitangazwa kuwa nchi yenye vivutio vizuri Afrika yote, lakini bado takwimu ni zile, yaani tofauti ni kidogo tu, hata Zimbabwe inawashinda kwenye jumla ya watalii.

Tatizo lenu kubwa ni kutumia Kenya kama kigezo cha maendeleo yenu, ilhali mnafaa muwe kwenye ligi pamoja na Nigeria. Madini na raslimali zote mnazo lakini bado mpo pale pale. Sisi hapa bado tuna matatizo ya Alshabaab, lakini hapo mbeleni hamkutukaribia katu. Tukiyamaliza haya, hamtatuona tena.
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yetu Kama si kimbelembele chenu. Lawmaina don't pop noise on others business.
 
lawmaina78 usitulaumu.tupo sahihi kupuuza na kutokulizungumzia hili swala la free facebook access from tigo.
tunajua uhuni wa makampuni ya kusambaza huduma za simu za mkoni.mfano ni hao tigo.
kwanza speed yao ya internet ni very poor.inategemea na distance kati ya mtumiaji wa huduma na ilipo tower ya tigo.
ingekuwa vodacom,airtel,zantel au ttcl hakika tungeshangiria sana.
tigo ni "mbululaz" of its kind when it comes to providing best internet services.so to hell with their free fb access project.
 
Last edited by a moderator:
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yetu Kama si kimbelembele chenu. Lawmaina don't pop noise on others business.

Dunia siku hizi ni kijiji kaka.
 
Tigo inaboa sana mpka uwe miji mikubwa ndo access ya internet inakuwa nzuri otherwise imekula kwako.
 
Last edited by a moderator:
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yetu Kama si kimbelembele chenu. Lawmaina don't pop noise on others business.

Huyo lawmaina ni tahahira hachana naye.
 
Back
Top Bottom