"Emmanuel is a wonderful example of the School's bridge across the oceans--of using the tools of public policy to improve the quality of life and to make a big impact on the world," says MSPP Dean Don Kettl.
Tanzanian Student Wins Research Award | Public Policy, University of Maryland
Lets just hope jamaa atarudi nyumbani kuendeleza nchi yake isiyo na umeme!!!!Congrats, we need people like you in the east african community
Unawafahamu wangapi wengine waliopata hiyo award?Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
Miafrika ndio kama wewe ulivyo. Hatuna utamaduni wa kufurahia maendeleo ya waafrika wenzetu na kuwasifu wanapofanya vema. Hata kama ni kitu cha kawaida but he still did something well.Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
..acha wivu ***** wewe!
Unawafahamu wangapi wengine waliopata hiyo award?
Miafrika ndio kama wewe ulivyo. Hatuna utamaduni wa kufurahia maendeleo ya waafrika wenzetu na kuwasifu wanapofanya vema. Hata kama ni kitu cha kawaida but he still did something well.
Tumsamehe Wacha1 na negativity zake, zitakuwa zimesababishwa na athari za mgao.
Ongera sana Emmanuel, you have made us proud. Keep up the good work.