Mkuu kizungu chako kigumu mno sijaambulia kitu kabisa.!!Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
Mkuu hiyo ni baada ya Heinkein kuingia akilini lakini ni kipi hujaelewa. Naanza upya. NOT ALL OF THEM ARE LIKE THAT (Meaning are not like betrayers) hapo endeleaMkuu kizungu chako kigumu mno sijaambulia kitu kabisa.!!
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
Acha kuchechetuka kama kicheche na kuwapa uzalendo wa kubembeleza au kuwapa watu sifa kwa muhasho wako, kuna kona hizo mitaa ya kati kama una proposal za kusaidia kwenu zinatoa hela mshahara wa hao wapuuzi hapo juu ni hadithi baati mbaya tu silaha zetu wengine zimezuiliaka.Asikudanganye mtu. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni losers. Kuna vijana USA ambao ni kiboko yao. Professional wa hali ya juu. Wakina Hassan Saudin, John Mashaka, Richard Mollel, Frank Minja, Inessa na wengine kibao. Ni vijana wa kukata na shoka. Hauwezi kuwakuta kwenye makundi ya CCM. Hawa ni professionals wa hali ya juu ambao inabidi warudi tu hapa tule nao vumbi kama kweli ni wazalendo. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni wabeba boxi njaa wa DC, Houston na NY.....Wakina Malecela
Acha kuchechetuka kama kicheche na kuwapa uzalendo wa kubembeleza au kuwapa watu sifa kwa muhasho wako, kuna kona hizo mitaa ya kati kama una proposal za kusaidia kwenu zinatoa hela mshahara wa hao wapuuzi hapo juu ni hadithi baati mbaya tu silaha zetu wengine zimezuiliaka.
Duuh hizi stella ngoja nikalale.
Hivi mtu unawajuaje watu wengine ambao hata wao hawakujui?Asikudanganye mtu. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni losers. Kuna vijana USA ambao ni kiboko yao. Professional wa hali ya juu. Wakina Hassan Saudin, John Mashaka, Richard Mollel, Frank Minja, Inessa na wengine kibao. Ni vijana wa kukata na shoka. Hauwezi kuwakuta kwenye makundi ya CCM. Hawa ni professionals wa hali ya juu ambao inabidi warudi tu hapa tule nao vumbi kama kweli ni wazalendo. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni wabeba boxi njaa wa DC, Houston na NY.....Wakina Malecela
Sioni sababu yako ya kuwaita hawa vijana wapuuzi. alafu kuniita kicheche kwa sababu mimi ni mwanamke ni udhalilishaji wa kijinsia ambayo haikubaliki. Dunia ya sasa, tunashindana kwa hoja. Hauna oja, kalale. Hawa vijana ni wazalendo, ingia kwenye mtandao wao uone wanayojadili ndio uwaite wapuuzi. mkuu hao vijana ni vichwa kweli kweli alafu wote ni under 40.
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
aAAAAARGHHHHH!!!!!:target:Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
Hao Watanzania wa diaspora wana harufu gani, rangi gani na wanachemka katika nyuzijoto ngapi?
Maana hata kwenye metals kuna alloy, na hata mapacha wanaweza kuwa na allergies tofauti.
Sasa hawa Watanzania wa diaspora wote kuwa sawa wamekuwa borgs?
inawezekana kuna haja ya kudefine diaspora, na pia tunahitaji kujua ni kigezo gani leroy ametumia kutuhumu maana na yeye yuko nje ya nchi
Mkuu Kiranga. Nadhani inabidi tumwage sifa panapostahili. Nadhani baadhi ya hawa vijana michango yao inahitajika ili kuibadilisha taifa letu. Wewe ni mtu ambaye namheshimu sana katika kuchangia mawazo chanya katika ili jukwaa. Wapo pia watu wengine kama Nyani Ngabu ambao wanafahamika kwa majungu na wivu. Swala la Diaspora ni zito, lakini nadhani kikuwba kinachowazuia kurudi nyumbani ni malipo duni. Watu wamezoea hela ndefu, unadhani wanaweza kurudi kuanza kupigania posho? nadhani hiyo ni ngumu kwa binadamu yeyote yule, Hata mimi nawaunga mkono. siwezi kuacha $250,000 kwenda kupigania posho ya $1300 kwa mwezi. Kama wana hela za kutosha kujikimu/sustain na kuendeleza quality ya life waliyonayo basi haina shida. Ila ni mzalendo tu ndiye anayeweza kukimbia mishahara kama hiyo kuja kupambana....