Tanzanian beggars striking it rich in Kenya

a kenyan will always be kenyan, siku zote wanawaona watz kama watu wasiofaa, na hii thread wameleta kwaajili ya kuwaumiza mioyo watz. haina maana. huyo mwandishi alisahau chokolaa ambao dunia nzima inajua wanapatikana kenya tu, chokolaa ambao wanaweza hata kukurushia kinye.si cha binadamu au cha kwao kama utawakatalia pesa kwenye mitaa ya Nairobi?...they've forgotten all that. Tanzania iko kwenye position nzuri sana kuinuka kiuchumi kuipita kenya muda wowote kuanzia sasa kama tukakaa vizuri, ndio maana we are a threat to kenyans, watafanya lolote kutudiscourage ili tusiwazidi. Mungu ibariki Tanzania.
 
I said it should have been striking it 'rich', not striking it rich..huyu mwandishi ni juha kama alivyo smatta na real dull..ooops..deal!
 
a kenyan will always be kenyan, siku zote wanawaona watz kama watu wasiofaa, na hii thread wameleta kwaajili ya kuwaumiza mioyo watz. haina maana. huyo mwandishi alisahau chokolaa ambao dunia nzima inajua wanapatikana kenya tu, chokolaa ambao wanaweza hata kukurushia kinye.si cha binadamu au cha kwao kama utawakatalia pesa kwenye mitaa ya Nairobi?...they've forgotten all that. Tanzania iko kwenye position nzuri sana kuinuka kiuchumi kuipita kenya muda wowote kuanzia sasa kama tukakaa vizuri, ndio maana we are a threat to kenyans, watafanya lolote kutudiscourage ili tusiwazidi. Mungu ibariki Tanzania.

And yet they are in their country, and they still want to come in droves when no Tanzanians (except in rare cases) is even interested to go to Kenya.. they are taking a very big risk.......nikisema neno nitaitwa mchochezi and that am inciting..ngoja ninyamaze mie...mwenye macho haambiwi tazama!
 
Is this the East African giant you are telling Tanzania to emulate????:alien:

Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.

Kanyaboya aka The Conqueror said:
And yet they are in their country, and they still want to come in droves when no Tanzanians (except in rare cases) is even interested to go to Kenya.. they are taking a very big risk.......nikisema neno nitaitwa mchochezi and that am inciting..ngoja ninyamaze mie...mwenye macho haambiwi tazama!

Not seen this yet?
SANY2147.jpg

Well, that's about USD 20 Million interest in Nairobi, by your govt.
 
Haina haja kuongea nao, wewe the country which is full of chokoraa, halafu kuna biashara ya watoto ambayo you cant emagine, halafu eti ndiyo waTz waende kule kuomba. How a joke is it!!!! Halafu mwandishi wao anasema wakenya wana mkono wa kutoa, tehh, teh .... usitake ncheke!!!!! wanajifurahisha tu.
 
Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.

Uwanja wa fisi is no longer there, nowadays is known as UWANJA WA SIMBA. all local beer bars have gone, new school and hospital constructed on the area. i.e human capital investment.
 
Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.
RD there is a great difference between slums and informal settlements, e.g slums are in kibera, informal settlements are like manzese. that is why in kibera you have squarter upgrading programme(sup) and in manzese community infrustructure upgrading programme (ciup) and business and property formalisation programme (bpfp), i.e after putting the infrastructure in place the next thing is to give to the property owners the certificate of occupancy.
kindly take that.
 
Nope. What's the insecurities for? You know I can also choose to tell you of Uwanja wa fisi, dar etc and how they are way worse than Kariobangi, but that wouldn't help a thing, it's a waste telling of the slums, they are everywhere you go you know, and it doesn't prove anything, esp. in Africa.

Not seen this yet?
View attachment 14462

Well, that's about USD 20 Million interest in Nairobi, by your govt.
That's corruption at work! We didn't say we don't have that problem in Tanzania..they are exchanging experiences with the more experienced nyang'aus.. .. i don't think Tanzania is short investment opportunities to the extent of NSSF going to Kenya. They want to eat without being noticed...wapumbavu kabisa, nyang'aus are everywhere!
 
Ngoja mimi niwe muwazi, naona mnaogopa kusema.
Huyu mwandishi wa habari hii ni mpumb*vu tu, ni urongo mtupu. Kama unataka kuprove wakenya wana roho nzuri jifanye mgeni tu mitaa ya ukwalaa au kwingine Nairobi, jifanye unaulizia sehem yoyote uone wangapi wako tayari kukusaidia!...kama mtu hayuko tayari kukuelekeza njia tu ya kwenda sehem, huyo mtu ndy wa kumpa masikini shilingi? Amin nawaambia, ombaomba huku bongo wanameki pesa sana tu (mpaka elf 10 ya bongo) sasa yeye anaongelea sh200=3400 kwa siku ndy mtu atajirike? Unafki umewajaa, kama kuna mahela huko, hawa wadada wanaojazana kwenye saluni kusuka nywele pale mwanza wamekimbia nini?
Sipendi unafki wa kijinga!:A S-devil1:
 
Immigration inafaa kuwachukua hawa watu na kuwa deport hadi kwao Bongo, hao ndio wanaotuchafulia miji yetu. Tanzania iko chini, raia wamesota hwajasoma, ni walazy, wabishi na xenophobic. mimi nawajua coz nishafanya kazi na bado nina shughuli nyingi sana huku bongo. mnasema hakuna waTanzania Kenya, kwasababu nyinyi hamjatembea, watanzania wamejaa Kenya, pale Taveta wachagaa ni wengi wanaibia watu pochi na vibeti, its a known fact, generation ya akina eliakeem na Kanyabwoya ndio eti ya wasomi na inataka kuchukua leadership.. hehhehhehe, wakina Abdulhalim badala wajenge taifa wanabeba maboksi tu huko ughaibuni, wanamajukumu chungu mzima hata hawawezi tuma hela nyumbani, huu ujwaji na uswahili ndio utakaowamaliza. ijumaa kareem
 
Wacha kuchekesha wewe bana. Taifa litejengwa na CCM na hao ombaomba wanaoichagua. Siezi kujivisha jukumu la kuendeleza taifa la watu ambao hawajui kuwa wanahitaji mabadiliko na kujitahidi walau kidogo kutumia akili. Ndio maana waizi kama wewe mnapeta bongo kwa sababu ya akili za CCM, watu wenye uoni finyu na hao wanaowachagua wenye akili za kuombaomba. Tungeondoa hiyo, bongo ingekuwa Singapore ya Afrika.. until that happens everything will continue to get worse, saa hivi tuko hoi na ombaomba wengi zaidi watakuja kuomba huko kwenye majengo ya wazungu huko Nairobi na kwingineko. Thats the sad fact.
 
Immigration inafaa kuwachukua hawa watu na kuwa deport hadi kwao Bongo, hao ndio wanaotuchafulia miji yetu. Tanzania iko chini, raia wamesota hwajasoma, ni walazy, wabishi na xenophobic. mimi nawajua coz nishafanya kazi na bado nina shughuli nyingi sana huku bongo. mnasema hakuna waTanzania Kenya, kwasababu nyinyi hamjatembea, watanzania wamejaa Kenya, pale Taveta wachagaa ni wengi wanaibia watu pochi na vibeti, its a known fact, generation ya akina eliakeem na Kanyabwoya ndio eti ya wasomi na inataka kuchukua leadership.. hehhehhehe, wakina Abdulhalim badala wajenge taifa wanabeba maboksi tu huko ughaibuni, wanamajukumu chungu mzima hata hawawezi tuma hela nyumbani, huu ujwaji na uswahili ndio utakaowamaliza. ijumaa kareem

wewe smatta acha uongo,acha ulongo, kweli weye una mambo mengi ya kufanya bongo. ustake ncheke, na hao wanafunzi unao wafundisha sekondari umuachie nani!!!!!!! wewe ni mwalimu, hivyo endelea kufundisha watoto wenu huko kenya.

Ni kweli hujakosea, sisi yaani wanaJF ni wasomi, tena tuliobobea, na tuna mipango kabambe ya kuifanya nchi yetu iendelee. hapa kenye jamvi tunakuja tu kujifurahisha na kuwapa elimu nyie wajinga ambao still mentally colonized.

Immigration inafaa kuwachukua hawa watu na kuwa deport hadi kwao Bongo, hao ndio wanaotuchafulia miji yetu. Tanzania iko chini, raia wamesota hwajasoma, ni walazy, wabishi na xenophobic. mimi nawajua coz nishafanya kazi na bado nina shughuli nyingi sana huku bongo. mnasema hakuna waTanzania Kenya, kwasababu nyinyi hamjatembea, watanzania wamejaa Kenya, pale Taveta wachagaa ni wengi wanaibia watu pochi na vibeti, its a known fact, generation ya akina eliakeem na Kanyabwoya ndio eti ya wasomi na inataka kuchukua leadership.. hehhehhehe, wakina Abdulhalim badala wajenge taifa wanabeba maboksi tu huko ughaibuni, wanamajukumu chungu mzima hata hawawezi tuma hela nyumbani, huu ujwaji na uswahili ndio utakaowamaliza. ijumaa kareem

Mwingine huyu! najua mko wengi tu mnamezea mate Tanzania imejaa oportunities, hebu sema wazi wewe uko wapi, kama hauko pemba unabeba sahani!!! maana mmejazana sana huko mnagawa tigo kwa waitaliano! Nchi yenu imeshagawanwa na hivo vigagula wenu, nyie mtaishi kuwa wakimbizi tu kama hamtafanya hima, Tanzania tunakuja kwa kasi ya ajabu, tena nawaambieni kwa hasira zenu wala hiyo EAC haiwezi kudumu, kama Nyerere aliona upumbavu wenu akaivunja!
 
Lakini nyie mwanishangaza sana, kwani hamfiki jameni?? Angola watasema vipi nao kama tz "wanakuja kwa kasi ya ajabu"??
You know tz is still in the era of "Chama cha baba na mama" So don't express it too loud.
 
looooool, this is some funny stuff!! Tanzanians are truly lazy, nnnnnnkkkt, freakin bongo lalaz!
 
Ukiona jitu linapenda kukusema sema sana wakati pengine hata hulijui au unalijua lakini huna mahusiano nalo, au hamna intimate relationship nalo, ujue linaku-admire sana, na usipokuwa makini, unaweza kudhani kuwa linakudharau, wakati kumbe lenyewe ndiyo huwa linadhani kuwa unalidharau. Ukishaona hivi, unakuwa ndiyo muda muafaka kwako wewe kulidharau!

is it E=mcsquared or mcsquare?
 
Back
Top Bottom