The influx of beggars from Tanzania is a perennial problem and there is never any need to recycle such stories as new ones keeps on coming everyday. Here is the link dated FRIDAY MARCH 3 2017sijaona link yoyote. Hii ni story mpya au recycled? Mmeishiwa?
Roho ya kimasikini waafrika mpendane hivo vyote umetaja vinakuhusu nn kama nchi si yako ficha ujinga wako fedhul [emoji23][emoji23] ngachoka na mt Kilimanjaro upo kenya mfyuuuPole zao, kule nchini kwao wanasema kuna ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii na kila kitu, sasa sijui mbona wanashia kuhangaika hivi hadi wanakua omba omba kwenye nchi jirani.
acha povu jamaa,kubali nchi ina maskini wengi tu sio majivuno ya kitoto.Roho ya kimasikini waafrika mpendane hivo vyote umetaja vinakuhusu nn kama nchi si yako ficha ujinga wako fedhul [emoji23][emoji23] ngachoka na mt Kilimanjaro upo kenya mfyuuu
Pumbu koza
Leta facts kwamba tanzania maskini zaidi kenya na mimi nitakupa jinsi kenya ilivyo maskini zaidi ya Tanzania. Twende kwa facts siyo kuhororoja.acha povu jamaa,kubali nchi ina maskini wengi tu sio majivuno ya kitoto.
Leta facts kwamba tanzania maskini zaidi kenya na mimi nitakupa jinsi kenya ilivyo maskini zaidi ya Tanzania. Twende kwa facts siyo kuhororoja.
Population ya Tanzania Below poverty Line ni 28% Est 2012Tihahahhaaaaa ^.. ^
Badala kuanza mkakati kuja Kenya kuokoa ndugu zako unanza kupika hesabu za rongo Rongo hapa. Utasubiri sana Leo kupata WA kuanza huo upumba hapa. Wenzangu ni omba omba mitaani Kenya Toka meru, Mombasa,nakuru...n.k. unakuja Na the tired line za lazy mtz we are richer blah blah mbona export ya omba omba umeshamiri Basi!Population ya Tanzania Below poverty Line ni 28% Est 2012
Population ya Kenya below poverty line ni 42% Est 2016
Population ya kenya ni 44.7 Million
Population ya Tanzania ni 49.25 Million
Calculation za population below poverty line ni kenya 44.7 x 42/100 = 19 kenyans live under poverty line
Tanzania 49.25x28/100 = 14 Million Tanzanians live under poverty line
Kenya-Tanzania live under poverty line. 19-14 =5
Kenya has population of 5Million more than Tanzania Live Under poverty line.
SASA KATI YA KENYA NA TANZANIA NI NCHI IPI INA MASKINI WENGI?
Economy of Kenya - Wikipedia
Economy of Tanzania - Wikipedia
Hizo ni propaganda zenu mnataka kujipendekeza kwetu. Lakini ukweli ndio huo hapo nimeueleza kwamba kenya ipo na population kubwa ya maskini.Badala kuanza mkakati kuja Kenya kuokoa ndugu zako unanza kupika hesabu za rongo Rongo hapa. Utasubiri sana Leo kupata WA kuanza huo upumba hapa. Wenzangu ni omba omba mitaani Kenya Toka meru, Mombasa,nakuru...n.k. unakuja Na the tired line za lazy mtz we are richer blah blah mbona export ya omba omba umeshamiri Basi!