Sasa huyu kafanya uhalifu unaleta hapa JF ili sisi tufanye nini? Hatuwezi kumtetea mtu ambaye hafuati sheria, hii habari ni kupoteza muda nadimu wa kuongelea maswala muhimu zaidi. Hawa watakuwa wale moderaters wa Kenya ambao wanafikiria umungiki kiki tu.
Tumezidi sana Watanzania na biashara haramu, yaani ndiyo sifa tuliyo nayo huko nje. Mara madawa, mara mikoko, mara wanyama, kuzamia nchi za watu, nk. Ukienda nje unakaguliwa na kuulizwa maswali ya jela mno, ukiuliza kwa nini mimi, wanasema sorry sir, we have been instructed to be extra vigilant with visitors from your country because of previous frequent incidents involving Tanzanians.
wWanaweza kutengeneza kesi ya kubambikia, Raia mmoja si mtu muhimu cn kwa Taifa letu; Sijui wewe Mkenya
In the first place, kitendo cha kusafirisha mahindi toka Malawi kuja Tz, kilianza lini?
Tz kuna njaa?
Huyu ameidhalilisha nchi yetu kwa maadui zetu.
Unatudhalilisha tena kwa hilo changudoa lianze kusema linatulisha we jamaa vipi...
kwani hawatulishi na si tunawalisha na hapa tunaongelea maisha ya ukweli baina ya kyela na malawi sio we ulie nyuma ya keyboard unapinga kila kitu kama kawaida yenu magamba,.
Sio njaa mkuu, huenda bei ya ununuzi iko chini huko kwao, so uyu ni mlanguzi wa kawaida tu.In the first place, kitendo cha kusafirisha mahindi toka Malawi kuja Tz, kilianza lini?
Tz kuna njaa?
Huyu ameidhalilisha nchi yetu kwa maadui zetu.
Wanakulisha wewe mvivu wa kufikiri, kwani mpaka uwe Marekani ndio ujue marekani ilivyo..tatizo akili zako za FB unaleta JF...kanye huko
siwezi bishana na mbumbu kama wewe usiejua unabishana nini,