Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Hivi vitoto vijinga watu wanahangaika navyo vya nini?? Vinatoa Tigo??

RIP Kanumba.
 
Tafadhali tafadhali mahojiano anayofanya mtangazaji wa eatv sasa yanachochea hisia mbaya. Tuwaachie polisi wafanye uchunguzi wa kifo. Mungu amlaze pema kipenzi chetu steve kanumba
 
Source = Chanzo
Cause = Sababu/kisababishi

Vyote ni sahihi.

RIP Kanumba. . . .
Poleni kwa msiba wafiwa na wapenzi wake wote.

Hata kwa kiswahili sanifu kifo hakina chanzo.Chanzo kina mwisho wake kama inavyosema methali ya chenye mwanzo kina mwisho.Sasa kama kifo kina mwanzo,mwisho wake ni nini?Kifo ni tamati,ni mwisho,ni tukio moja,unakufa mara moja tu,hii si process iwe na source.Unaweza kusema chanzo cha maradhi lakini si chanzo cha kifo.He should have written the cause of death and not the source of death.
 
Nimesikitika sana na Msiba huu!! Ila pia ni fundisho kwa wale watu wenye majina makubwa na Heshima kwa jamii wabadilishe namna ya maisha yao wanayoishi!!

Alikuwa na heshima gani kama si kwa wanawake tu ambao nasikia walikuwa wanasema ndiye mwanamme handsome kuliko wote Tz!!
 
Hako kajinga sana? Kahukumiwe hukumu ya kifo!! Na kwa nini watu wazima dizaini ya Kanumba wanahangaika na huu uchafu??
 
Kuna baadhi ya Viumbe hai humu Jf,.nawasiwasi na uhai wa roho zao! Yan hawako seriouz ktk suala la Kifo! Unakuta mtu anakurupuka tu,hata mdomo hajasuuza,anaongea analoweza! Mjitahidi kidogo kuficha makucha roho zenu mbaya,if u cant be seriouz jus 4a second,u better stay away from seriouz issuez! Utani wa ajabu ktk suala kama hili..
Binafsi naona c uungwana,kuropoka ovyo,ka mwehu wakat wa tatizo hasa kifo.Kama huna point Pita tuu,haupungukiwi na kitu,instead of kuchangia kama mpungufu wa akili..ukumbuke pia no one atakaebaki wa mbegu humu dunian!wote tutakufa!
R.i.p Kanumba,God loves u more!
 
Mipango ya Kanumba kwenye tasnia ya Maigizo, Kitaifa na Kimataifa, ni kitu cha ajabu kusikia alichagua kuamua kuishi na kitoto hichi ambacho hakina namna yoyote ya kufikiria kwamba angemshauri chochote kwenye maisha yake!! R.I.P SK!
 
Back
Top Bottom