Mutharika ni mwanasiasa, wengi hawamfuatilii sana labda uwe unapenda kufuatilia siasa za kimataifa. Huyo profesa ni mtu mdogo sana, wanaomjua sana ni wanafunzi wake. IGP mstaafu naye, ni mtu mkubwa lakini kizazi cha sasa hawamjui labda sisi wakongwe.
Kanumba amejizolea sifa sana katika movie ndio maana wengi wanamlilia