Mama pole sana, nakumbuka ulivyo msihi aoe akasema bado wala hata mpenzi hana, leo unaskia alikuwa na mpenzi anaitwa lulu najua itakuuma sana kwa kanumba kukuficha hili. Na ukweli kama angekwambia lulu ndo mpenzi wake nahisi kwa busara zako ungemwambia hamfai. RIP