Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SERIKALI za Tanzania, Zambia na Malawi zimefungua ukurasa mpya kwa kuanzisha ushirikiano katika kupambana na vitendo vya ujangili dhidi ya wanyamapori, FikraPevu linaripoti.
Hatua hiyo imekuja kufuatia kuendeshwa kwa mafunzo ya siku 10 kwa watendaji wa vikosi vya kukabiliana na ujangili vya nchi hizo pamoja na maofisa, ambayo yamefanyika jijini Dar es Salaam.
FikraPevu inatambua kwamba, mafunzo hayo yaliendeshwa na kufadhiliwa kwa pamoja na Jeshi la Polisi, Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi ya PAMS Foundation.
SOMA ZAIDI