Tanzania Yetu na Magufuli tena 2020

Tanzania Yetu na Magufuli tena 2020

tz yetufom

Member
Joined
Jun 18, 2020
Posts
10
Reaction score
21
Hakika ni heshima kubwa sana mliyotupa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa
Screenshot_20200713-124615.jpg
 
Akubali kura zihesabiwe kwa uwazi(October) kama kwenye mkutano wake wa kumpitisha tuone kama kweli wananchi wana mhitaji.
 
Tegemea miaka mitano ya msoto, watu kuharibiwa biashara, tumbua tumbua zisizo kichwa wala mguu, wapinzani kupigwa loba mpaka mwaka wa uchaguzi, Watanzania kutukanwa, Shirika la Ndege kupata hasara inayofichwa, serikali kuendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja badala ya sera, manunuzi yasiyo zabuni wala bajeti, Bashite kuendeleza utemi na maneno ya kishenzi, Tanzania kuonekana kituko na kupungua heshima kimataifa, na ujinga mwingi sana kama huo.
 
Yote yameshatokea, nini kipya ?
 
Unasemaje
Nasema hivi, kukosekana kwa kipya, hususan upande wa upinzani, ndiyo kinaweza kuwa tatizo zaidi.

Hususan kwa sababu, upande wa serikali CCM vipya vingi vinavyotokea ni vya kuzidisha ukandamizaji wa upinzani.

Magufuli atapita halafu ataharibu uchumi zaidi.

Bei za mazao zitashuka zaidi, uhusiano wa kimataifa utashuka zaidi, ukandamizwaji wa haki utazidi.

Na hata ukitaka kupima ujue kama kuna kipya utazuiwa kwa sheria ya takwimu na ujinga mwingine kama huo.
 
Back
Top Bottom